Simba yakamilisha 'dozi' ya kuimaliza JKT Tanzania

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Apr 2019
Simba yakamilisha 'dozi' ya kuimaliza JKT Tanzania

Mabingwa watetezi ligi kuu ya Tanzania Bara Simba leo wamefanya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi unaofuatia dhidi ya JKT Tanzania

Simba iliyojifua uwanja wa Boko Veterans, kesho itaikabili JKT Tanzania katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru

Vijana hao wa Patrick Aussems walitua jana kutoka kanda ya ziwa ambako walizoa alama 9 kati ya 12

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema wachezaji wote wako katika hali nzuri na tayari kwa mchezo huo

Simba inashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikiwa imejikusanyia alama 69 baada ya kushuka dimbani mara 27 tu

Yanga inaongoza ligi leo ikifikisha alama 77 baada ya kuifunga Azam Fc bao 1-0. Hata hivyo Yanga imeshuka dimbani mara 33

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’