Kapombe anakaribia kurejea kisosini Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Apr 2019
Kapombe anakaribia kurejea kisosini Simba

Uongozi wa Simba umethibitisha kuwa beki wake kiraka Shomari Kapombe anakaribia kurejea kikosini baada ya kuanza mazoezi mepesi

Msemaji wa Simba Haji Manara amesema Kapombe amepona majeraha ya goti na tayari ameanza mazoezi ya gym ikiwa ni hatua ya mwanzo kabla ya kurejea dimbani

"Tunashukuru beki wetu Shomari Kapombe amepona majeraha ya goti yaliyomuweka nje kwa muda mrefu. Hivi sasa anafanya mazoezi ya Gym ili kuurejesha mwili katika hali yake kabla ya kuanza mazoezi ya mpira," amesema

Kapombe amekuwa nje kwa zaidi ya miezi mitano akiuguza majeraha ya goti aliyopata nchini Afrika Kusini wakati akiitumikia timu ya Taifa

Licha ya beki huyo kuanza kujifua, kuna uwezekano mdogo kwake kucheza mechi zilizobaki

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’