Wanaosema Simba 'inabebwa' wajitafakari

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Apr 2019
Wanaosema Simba 'inabebwa' wajitafakari

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amewashangaa mashabiki wanaosema klabu hiyo inabebwa na waamuzi wakati timu hiyo imepata mafanikio nje na ndani ya Tanzania kutokana na ubora wa kikosi chake

Manara amesema Simba imekuwa ikicheza kila baada ya siku mbili na inapata matokeo kutokana na ubora wake na si vinginevyo

"Tumefika robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa tulibebwa na nani?" alihoji Manara

"Hata hao Yanga ambao mashabiki wao wanalalamika kuwa tunabebwa nao tuliwafunga, je tulibebwa?"

"Kwa sasa Simba ndio timu yenye kikosi bora Tanzania, ndio mabingwa watetezi na baada ya wiki moja tutakuwa kileleni mwa msimamo wa ligi tayari kurejesha ubingwa Msimbazi"

Simba imebakisha michezo 11, lakini inahitaji kushinda michezo nane tu ili iweze kutwaa ubingwa

Aidha kama Yanga itashindwa kuifunga Azam Fc kesho, Simba itahitaji kushinda michezo miwili tu ili kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
42m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’