Aussems ashangazwa na mzuka wa mashabiki Musoma

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Apr 2019
Aussems ashangazwa na mzuka wa mashabiki Musoma

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amewashukuru mashabiki wa timu hiyo mkoani Mara kwa sapoti waliyotoa kwa mabingwa hao watarajiwa wa ligi kuu kwa msimu wa pili mfululizo

Aussems amesema amefarijika kuona mashabiki wakijitokeza kwa wingi uwanjani jana lakini zaidi juzi Simba ilipotua mkoani Mara

"Tumefarijika na mapokezi waliyotupa mashabiki wa hapa ikiwa ni muda mrefu umepita tangu Simba ije kucheza hapa," amesema

"Tumewaachia zawadi ya ushindi, sisi tunaelekea Dar ambako tutacheza mchezo mmoja Jumanne (na JKT Tanzania) kisha tutaelekea mkoani Mbeya kuzikabili Mbeya City na Tanzania Prisons"

Msafara wa Simba ulilala jijini Mwanza ambapo leo wanarejea jijini Dar es salaam kwa usafiri wa ndege

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’