Mashabiki wa Simba Mara 'mmetisha'

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Apr 2019
Mashabiki wa Simba Mara 'mmetisha'

Mapokezi na sapoti iliyopata Simba mkoani Mara ni ya kipekee na hakika watu wa Musoma wanastahili pongezi kwa 'vibe' la maana waliloonyesha leo

Simba haikuwa imefika Mara katika kipindi cha miaka 15 kutokana na mkoa huo kukosa timu ya ligi kuu, makaribisho iliyopata yanadhihirisha ukubwa wa Simba nchini Tanzania kwa sasa

Baada ya mchezo wa leo kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka kesho kurejea jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya JKT Tanzania

Leo Simba itaelekea jijini Mwanza ambapo msafara utalala jijini humo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
52m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’