Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kitacheza mchezo wa kujipima nguvu dhidi ya Misri yakiwa maandalizi ya mwisho kuelekea fainali za michuano ya AFCON 2019 itakayofanyika nchini Misri kuanzia Juni 21, 2019
Mchezo huo utapigwa Juni 13 2019 katika dimba la Bourg Al Arab
Tanzania imepangwa kundi C pamoja na Algeria, Senagal na Kenya
Mchezo wa kwanza Stars itachuana na Senagal, Juni 23 2019
ADVERTISE HERE