Tetesi kuhusu kiungo Mzamiru Yassin na Mohammed Ibrahim 'Mo' kutakiwa na Yanga zimeshika kasi na uongozi wa Simba unapaswa kuwa makini kuhusu jambo hili.
Wachezaji hao mikataba yao iliyobaki ni chini ya miezi sita hivyo wanaweza kufanya makubaliano ya awali na timu yoyote.
Huu ni wakati muafaka wa kuhuisha mikataba yao bila kusubiri imalizike kabisa mwezi June, 2018. Bila shaka bosi mpya wa Simba, Mohammed Ibrahim 'Mo' atawezesha kwa haraka jambo hili
Aidha mchezaji mwingine ambaye mkataba wake unamalizika mwezi June 2018 ni Shiza Kichuya.

ADVERTISE HERE