Aussems aridhishwa na kiwango Simba, apongeza wachezaji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Apr 2019
Aussems aridhishwa na kiwango Simba, apongeza wachezaji

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema vijana wake leo wamesahihisha makosa ya mchezo waliopoteza dhidi ya Kagera Sugar na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Aliance Fc

Akizungumza baada ya mchezo huo uliopigwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Aussems amesema Simba ilikuwa katika kiwango bora leo na iliweza kumiliki mchezo huo tangu mapema

Amesema baada ya kupata matokeo muhimu leo, sasa wanaelekeza nguvu kwenye mchezo unaofuata dhidi ya KMC ambao pia utapigwa Keshokutwa katika uwanja wa CCM Kirumba

"Tulimiliki mchezo tangu mwanzo na nimeridhishwa na matokeo," amesema

"Kama timu kwa sasa tunaangalia mbele na tutafanya kwa vitendo zaidi kuliko kuongea kwani baada ya masaa 48 tutakuwa tena hapa kucheza mchezo mwingine"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
34m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’