Mshambuliaji wa Simba kinara wa upachikaji mabao ligi kuu ya Vodacom Emanuel Okwi ameanza kujifua nchini Uganda.
Okwi amekuwa nje kwa takribani wiki tatu akisumbuliwa na majeraha ya goti.
Mchezaji huyo ilikuwa arejee nchini mwishoni mwa wiki hata hivyo mabadiliko ya ratiba ligi kuu ya Vodacom yamempa nafasi ya kuendelea kutibiwa nchini Uganda.
Okwi ndiye kinara wa upachikaji mabao ligi kuu ya Vodacom akiwa na mabao 8.
Anafuatiwa na washambuliaji Obrey Chirwa na Mohammed Rashid wenye mabao 6 kila mmoja

ADVERTISE HERE