Tumekubali matokeo, tunajipanga kwa ajili ya mchezo unaofuata - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Apr 2019
Tumekubali matokeo, tunajipanga kwa ajili ya mchezo unaofuata - Manara

Baada ya kupoteza mchezo wa leo dhidi ya Kagera Sugar kwa kufungwa mabao 2-1, msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amesema wamepoteza mchezo huo dhidi ya timu iliyojipanga vyema na kucheza vizuri zaidi yao

Amewapongeza Kagera Sugar kwa ushindi huo, amesema Simba inajipanga kwa ajili ya mchezo unaofuata dhidi ya Alliance utakaopigwa Jumanne April 23 kwenye uwanja wa CCM Kirumba

"Tumefungwa kwa sababu hatukucheza vzuri hususani kipindi cha kwanza," amesema Manara

"Kagera walikuwa bora uwanjani kutuzidi na huu ndio mpira. Hatuna malalamiko kwa waamuzi kwani walichezesha vizuri"

"Muhimu wachezaji wetu na benchi la ufundi wajue hiyo ni ishara kwao kuwa ligi hii sio nyepesi,wapambane kuturejeshea ubingwa wetu"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’