Bodi ya ligi imebadili muda wa mchezo wa ligi kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba ambao utapigwa leo kwenye uwanja wa Kaitaba, utachezwa saa kumi kamili jioni badala ya saa nane mchana

ADVERTISE HERE