Kikosi cha Simba tayari kiko mkoani Kagera ambapo leo jioni kilifanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Kaitaba kuelekea mchezo dhidi ya Kagera Sugar
Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi, April 2019 saa kumi kamili jioni


ADVERTISE HERE