Manara amtembelea Rakeem Kagere Tanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Apr 2019
Manara amtembelea Rakeem Kagere Tanga

Mtoto Rakeem Sango maarufu kama Rakeem Kagere amekuwa shabiki maarufu sana wa Simba ambapo tangu aibuliwe kutoka Tanga amekuwa akiripotiwa sana na vyombo vya habari

Juzi wakati kikosi cha Simba kikiwa mkoani Tanga kupepetana na Coastal Union, msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara alimtembelea mtoto huyo anayeishi Mikanjuni mjini Tanga

Manara ndiye aliyefanikisha kutambulika kwa Rakeem baada ya video iliyokuwa ikimuonyesha akilia baada ya Simba kufungwa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii

Bosi huyo wa kitengo cha habari Simba, aliwezesha Rakeem kusafiri jijini Dar es salaam na Mama yake kushuhudia mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS Vita

Juzi baada ya kukutana tena na Rakeem, Manara alimtaka azingatie sana elimu ili baadae aje kuwa kiongozi wa klabu ya Simba

Aidha Manara amesema safari yake hiyo ni moja ya mikakati ya kuitangaza Simba

Manara amebainisha kuwa wana mkakati wa miaka 10 ambapo katika kipindi hicho watahakikisha asilimia kubwa ya Watanzania wanaiunga mkono Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
28m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’