Kikosi cha Simba leo kimeendelea na mazoezi katika viwanja vya Polisi kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Ndanda FC utakaopigwa Disemba 30, 2017.
Mchezo dhidi ya Ndanda ni kati ya michezo minne iliyobaki kwa kikosi cha Simba kumaliza mzunguko wa kwanza wa ligi.
Wakati Simba inaendelea kujifua, baadhi ya wachezaji wake wako nchini Kenya wakishiriki mashindano ya CECAFA Challenge wakiwa na timu zao za Taifa za Uganda na Tanzania Bara.
Wachezaji hao watajiunga na timu mara baada ya kumalizika kwa mashindano hayo Disemba 17.

ADVERTISE HERE