Baada ya ushindi Tanga, Simba kurejea Dar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Apr 2019
Baada ya ushindi Tanga, Simba kurejea Dar

Baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union leo, kikosi cha Simba kinarejea jijini Dar es salaam tayari kuifuata Kagera Sugar

Simba itacheza na Kagera Sugar Jumamosi April 20 katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Kaitaba

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema licha ya kukabiliwa na ratiba isiyo rafiki watapambana kuhakikisha wanapata matokeo

Akizungumzia matokeo ya mchezo wa leo, Aussems amewapongeza wachezaji kwa kupata ushindi licha ya mazingira yasiyo rafiki ya uwanja wa Mkwakwani

"Haikuwa rahisi sababu uwanja haukuwa mzuri lakini tulifanikiwa kumiliki mchezo na baadae tulifanya mabadiliko ambayo yametuletea magoli. Kubwa zaidi nawapongeza wachezaji kwa kuibuka na ushindi"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
58m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’