Licha ya muda wa mchezo kati ya Coastal Union dhidi ya Simba kubadilishwa kutoka saa kumi jioni na kuwa saa nane mchana, mashabiki wa Simba wamejitokeza kwa wingi uwanja wa Mkwakwani kushuhudia mchezo huo
Kikosi cha Simba kimewasili mapema uwanjani na kufanya mazoezi mepesi kabla ya mtanange huo kuanza



ADVERTISE HERE