Kagere apania kuendeleza kasi ya ufungaji bora ligi kuu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Apr 2019
Kagere apania kuendeleza kasi ya ufungaji bora ligi kuu

Mshambuliaji kinara wa mabao kikosi cha Simba Meddie Kagere kesho anatarajiwa kuongoza mashambulizi dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara utakaopigwa uwanjwa wa Mkwakwani

Baada ya Simba kutolewa hatua ya robo fainali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika, taji la ligi kuu ndio kipaumbele kilichobaki kwa mabingwa hao wa nchi

Kagere aliyefunga mabao 14 akishika nafasi ya tatu katika orodha ya vinara wa ufungaji nyuma ya Heritier Makambo (15) na Salim Aiyee (16), ana nafasi ya kusogea kileleni kama atawafunga Coastal Union kesho

Mshambuliaji huyo wa Kimataifa wa Rwanda, amesema atahakikisha anaifungia Simba mabao kila atakapopata nafasi ya kufanya hivyo.

Aidha kutokana na idadi kubwa ya mechi ambazo Simba inazo, Kagere anapewa nafasi kubwa ya kuibuka mfungaji bora msimu huu sambamba na nahodha wa mabingwa hao watetezi John Bocco ambaye ana kasi nzuri ya kuzifumania nyavu kwenye ligi

Bocco amepachika mabao 11 mpaka sasa

Mfungaji bora wa msimu uliuopita Emmanuel Okwi yeye amefunga mabao saba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’