Watatu Simba kuikosa Coastal Union

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Apr 2019
Watatu Simba kuikosa Coastal Union

Kikosi cha mabingwa watetezi ligi kuu ya Tanzania Bara, Simba kiko mkoani Tanga ambapo kesho kitashuka kwenye uwanja wa Mkwakwani kuikabili Coastal Union katika moja ya michezo ya viporo

Simba iliwasili jijini Tanga jana mchana na jioni ikafanya mazoezi kujiandaa na mchezo huo. Leo jioni itajifua katika uwanja wa Mkwakwani

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema wachezaji wote waliosafiri mkoani Tanga wako katika hali nzuri tayari kwa mchezo huo

Aidha Rweyemamu amesema nyota watatu wataukosa mchezo wa kesho kutokana na majeruhi

Mlinzi Juuko Murshid na kiungo James Kotei wanaungana nabeki Paschal Wawa baada ya kupata majeraha kwenye mchezo uliopita dhidi ya TP Mazembe

Simba inakabiliwa na ratiba ngumu ya 'kula viporo' ikilazimikia kucheza kila baada ya siku mbili au tatu

Kocha Mkuu wa mabingwa hao watetezi Patrick Aussems amesema ratiba hiyo sio rafiki kwa timu yake lakini hakuna namna ni lazima wacheze na wanahitaji kushinda michezo yote ili waweze kutetea ubingwa

Aussems amesema Simba ina kikosi cha wachezaji 30 hivyo watakabiliana na ratiba hiyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’