Makonda 'amtuza' Manula

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Apr 2019
Makonda 'amtuza' Manula

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda ambaye ni mdau mkubwa wa klabu ya Simba, amewapongeza wachezaji wa timu hiyo kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Simba ilitolewa kwenye michuano hiyo jana katika hatua ya robo fainali baada ya kufungwa mabao 4-1 na TP Mazembe

Makonda amesema matokeo hayo hayapaswi kuwavunja moyo bali iwe chachu ya kutafuta mafanikio zaidi

Aidha Makonda amempongeza mlinda lango namba moja Aishi Manula kwa kazi kubwa aliyofanya kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe akiahidi kumpa zawadi

"Najua matokeo ya leo (jana) yatatupa tabu sana mtaani ila wewe (Manula) umekuwa nyota wangu ukifika tu DSM njoo uchukue zawadi yako," amesema

"Watani zangu Naomba mjuwe hatua tuliyofikia ni kubwa sana na hakika Simba inastahiri kupongezwa na Usku nitakuwepo Airpot kuwapokea Makamanda na wapambanaji wetu Simba"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’