Tutatetea ubingwa wetu ili tushiriki tena mwakani - Tshabalala

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Apr 2019
Tutatetea ubingwa wetu ili tushiriki tena mwakani - Tshabalala

Nahodha Msaidizi wa kikosi cha Simba Mohammed Hussein 'Tshabalala' amesema hatua ya robo fainali waliyofikia kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika imewapa somo na msimu ujao wakipata nafasi anaamini watafanya vizuri zaidi

Aidha Hussein amesema hatua hiyo imewapa nguvu ya kupambana kwenye ligi ili kuhakikisha wanatetea ubingwa wapate nafasi ya kushiriki michuano hiyo mwakani

"Tulianza kwa Kuandika Kitabu cha Historia Mpya ya Soka Letu baada ya Miaka Mingi Kupita Na Tulitegemea Kuendelea Kukiandika Kitabu Hicho Pale LUBUMBASHI Kabla ya Kukifunga Lakini Haikuwa Bahati," Tshabalala ameandika kwenye ukurasa wa mtandao wa Instagram

"Uzuri na Utamu wa Mashindano Haya ya CAF CHAMPIONS LEAGUE Unatufanya Kama TEAM Na Mimi binafsi Kupambana Kuhakikisha Mwakani Tunarudi Tena INSHAALLAH"

Simba tayari imerejea nchini kuanza 'mchakamchaka' wa kula viporo katika kampeni ya kubakisha ubingwa Msimbazi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’