Msafara wa kikosi cha Simba umerejea usiku wa kuamkia leo wakitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambako waliondoshwa katika hatua ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kwa kufungwa mabao 4-1 na TP Mazembe
Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema baada ya timu hiyo kurejea nchini, sasa wanaelekeza nguvu zao zote kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara kuhakikisha wanatetea ubingwa walioutwaa msimu uliopita


ADVERTISE HERE