Tumeacha alama Afrika - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Apr 2019
Tumeacha alama Afrika - Manara

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema hakuna sababu ya kujilaumu baada ya Simba kutolewa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kwa kukubali kipigo cha mabao 4-1 kutoka kwa TP Mazembe

Manara amesema hatua iliyofikia Simba msimu huu ni ya kujivunia na hakuna shaka, mafanikio haya yameacha alama barani Afrika

Mkuu huyo wa idara ya Habari na Mawasiliano amesema Simba itaendeleza hapa ilipoishia msimu ujao kwani hakuna shaka itarejea kwa nguvu kwenye ligi ili kutetea ubingwa wake

"Tumetolewa lakini tumeacha alama,tusijilaumu bali kwa hatua hii tujipongeze na Inshaallah Mwakani tutarudi kwa nguvu kubwa Kwenye Ligi ya Mabingwa," amesema Manara

Msimu huu Simba ilijiwekea malengo ya kutinga hatua ya makundi, kufika robo fainali ni mafanikio makubwa kwa mabingwa hao wa nchi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’