Baada ya kuwasili jiji la Lubumbashi mapema leo Ijumaa, kikosi cha Simba jioni kilifanya mazoezi kwenye uwanja wa TP Mazembe tayari kwa mchezo wa kesho
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo
Aidha Aussems amesema kikosi kitakuwa na mabadiliko kidogo lengo likiwa kupata matokeo yatakayoivusha Simba hatua ya nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika





ADVERTISE HERE