Wachezaji 18 waifuata TP Mazembe kibabe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Apr 2019
Wachezaji 18 waifuata TP Mazembe kibabe

Msafara wa wachezaji 18, benchi la ufundi na viongozi kadhaa wa Simba, wanaondoka leo Ijumaa asubuhi kuelekea nchini Congo kwa usafiri wa Ndege ya kukodi kwa ajili ya mchezo wa pili wa robo fainali ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya TP Mazembe

Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi saa kumi kamili jioni katika uwanja wa TP Mazembe

Beki Paschal Wawa ambaye ni majeruhi hakujumuishwa katika kikosi hicho

kikosi kilichosafiri

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’