Simba kwenda Congo kwa Ndege ya kukodi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Apr 2019
Simba kwenda Congo kwa Ndege ya kukodi

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba kitaondoka Ijumaa asubuhi kuelekea Lubumbashi Congo kuifuata TP Mazembe kwenye mchezo wa marudiano robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Msafara wa Simba utajumuisha mashabiki wa timu hiyo ambao wameendelea kukamilisha taratibu za safari hiyo

Msemaji wa Simba Haji Manara amesema wataondoka Ijumaa asubuhi na timu itarejea jijini Dar es salaam Jumamosi jioni baada ya mchezo

"Tutakwenda kibabe DR Congo na tutaondoka na kundi la mashabiki wetu na tutaishangaza Afrika Jumamosi ijayo, Ndege itaondoka asubuhi ya Ijumaa Aprili 12, 2019 na itarejea nchini Jumamosi jioni mara tu baada ya mchezo huo," amesema Manara

Baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana kwenye mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa, Simba inahitaji kushinda au hata kupata matokeo ya sare ya mabao ili iweze kusonga mbele

Mkufunzi wa Simba Patrick Aussems amesema wanayo nafasi ya kupata matokeo ugenini na kutinga nusu fainali ya michuano hiyo mikubwa barani Afrika kwa ngazi ya vilabu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’