Klabu ya Simba imeandaa usafiri maalum wa Ndege kwa mashabiki wake ambao watapenda kwenda nchini DR Congo kuwashangilia mabingwa hao wa nchi kwenye mchezo wa pili wa robo fainali ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazedmbe
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, April 13 huko Lubumbashi
Hizi hapa gharama za safari hiyo;

ADVERTISE HERE