Simba yajipanga kuhuisha mikataba nyota nane

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Apr 2019
Simba yajipanga kuhuisha mikataba nyota nane

Ligi Kuu ya Tanzania Bara inamalizika mwezi ujao na tayari michakato ya usajili wa wachezaji imeanza kushika kasi

Nyota nane wa kikosi cha Simba mikataba yao inamalizika mwishoni mwa msimu ambapo Mwenyekiti wa Simba Swedy Mkwabi amesema wako mbioni kuanza mazungumzo ya kuhuisha mikataba ya wachezaji hao

Miongoni mwa nyota ambao mikataba yao inamalizika mwishoni mwa msimu ni pamoja na Emmanuel Okwi, John Bocco, Jonas Mkude, Aishi Manula, Erasto Nyoni, James Kotei, Asante Kwasi na Shomari Kapombe

"Tunasubiri ripoti ya Mwalimu Aussems ili tuanze michakato ya usajili. Lakini bila shaka, wachezaji wengi tutaendelea nao" amesema

"Hakuna mchezaji yeyote ambaye mkataba wake wa kuitumikia Simba utakuwa umemalizika na tumempa ruhusa ya kuondoka kwa maana ya kwenda kujiunga na timu nyingine wote tuna mipango nao na tunaimani watasaini mikata mipya ya kubaki hapa.

"Bodi bado haijazungumza na mchezaji yeyote, ambaye mkataba wake unamalizika kutokana na majukumu ya mechi za kimataifa ambazo tunacheza mfululizo, lakini nadhani tutakaa nao na mambo yatakwenda sawa kwa pande zote mbili tutakubaliana"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
19h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
23h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’