Shabiki aliyetembea kwa mguu kutoka Mbeya aula

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Apr 2019
Shabiki aliyetembea kwa mguu kutoka Mbeya aula

Shabiki Ramadhan Mohamed ambaye alikuja Dar es Salaam akitokea Mbeya kwa miguu ili ashuhudie mchezo wa robo fainali ya ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazembe, leo amekutana na viongozi, wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi na sekretarieti ya Simba

Ramadhani atagharamiwa na Simba kwenda Lubumbashi kuangalia mchezo wa marudiano ambao utachezwa Jumamosi Aprili 13, 2019

Shabiki huyo amekuwa gumzo katika vyombo mbalimbali vya habari vya Kimataifa kutokana na tukio hilo la kutembea zaidi ya kilomita 700

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’