Simba yashitukia hujuma, yaandika barua CAF

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Apr 2019
Simba yashitukia hujuma, yaandika barua CAF

Klabu ya Simba kupitia kwa Mtendaji wake Mkuu Crescentius Magori, imeliandikia barua Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) kufuatia mabadiliko ya waamuzi wa mchezo wa pili wa robo fainali ligi ya mabingwa kati ya TP Mazembe dhidi ya Simba

Mapema leo CAF ilitoa taarifa juu ya mabadiliko hayo ambayo yamefanyika siku tano kabla ya mchezo utakaopigwa April 13 Lubumbashi, DR Congo

TP Mazembe ndio iliyoomba kubadilishwa kwa waamuzi hao ambao awali walikuwa wakitoka nchi za Kenya na Ethiopia na kuwekwa wengine kutoka nchi za Zambia na Eritrea

Simba imeeleza hofu yake kwa mabadiliko hayo ya kushitukiza kuwa yasije yakawa na lengo baya

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’