Tujivunia mafanikio haya - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Apr 2019
Tujivunia mafanikio haya - Manara

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amesema licha ya metokeo ya suluhu ya bila kufungana dhidi ya TP Mazembe jana, Simba ina kila sababu ya kujivunia mafanikio iliyopata msimu huu kwani yameingia katika historia ya michuano hiyo

Manara amesema Simba ni miongoni mwa vilabu nane bora barani Afrika kwa sasa na jana iliwahenyesha TP Mazembe inayoshika nafasi ya pili kwa ubora Afrika

Amesema Simba imekuwa klabu pekee iliyopata mafanikio makubwa katika michuano ya ligi ya mabingwa katika ukanda huu wa Afrika Mashariki

"Wanasimba jivunieni klabu yenu,mmecheza na klabu ya pili kwa ubora Afrika (takwimu za CAf mwaka huu).

"Hamkufungwa nyumbani,w enzenu miaka michache iliyopita Kwenye kombe la Shirikisho (sio la Mabingwa)walifungwa pale Taifa,nyie mmejaza uwanja kwa kulipa viingilio ,wenzenu waliingia bure

"Nyie mmecheza ligi ya mabingwa bila kufungwa,wenzenu hadi Watswana wanawafunga

"Endeleeni kutuunga mkono na tunakwenda Kwenye kipute cha ‘Jasho na Damu ‘kule Lubumbashi wiki ijayo!! nchi ijue na Wanasimba wajue," amesema

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’