Njooni uwanja wa Taifa - Aussems

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Apr 2019
Njooni uwanja wa Taifa - Aussems

Kocha wa Simba Patrick Aussems amewaita mashabiki wa Simba kufurika kwa wingi uwanja Taifa kesho kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe

Aussems amesema Simba imeweka rekodi ya kuongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya mashabiki wanaoingia uwanjani kulingana na takwimu za CAF

"Nimeongea na watu wa CAF wakaniambia Simba ndio ilikuwa na wastani wa mashabiki wengi kuingia uwanjani."

"Kwa hiyo napenda kuwakumbusha kuwa matokeo tuliyopata ni kutokana na mashabiki.

"Nawashukuru sana kwa sapoti yao na nafahamu dhidi ya Mazembe watakuwepo na watatusaidia sana kwa sababu wao ni muhimu"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’