Kikosi cha Simba kimeondoka mkoani Morogoro kurudi Dar kukamilisha maandalizi ya mchezo dhidi ya TP Mazembe
Simba iliweka kambi mkoani Morogoro kukamilisha ratiba ya michezo ya ligi
Hata hivyo baada ya ushindi dhidi ya Mbao Fc, mchezo wa jana dhidi ya JKT Tanzania haukufanyika baada ya mvua kujaza maji uwanja wa Jamhuri
Keshokutwa Jumamosi Simba itachuana na TP Mazembe katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ligi ya Mabingwa
ADVERTISE HERE