Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems pamoja na nahodha wa timu hiyo John Bocco wametwaa tuzo za TPL kwa mwezi uiliopita
Wakati Aussems akitwaa tuzo ya kocha bora, Bocco ametwaa tuzo ya mchezaji bora

Kamat ya Tuzo imemchagua Kocha Aussems kuwa Kocha Bora wa Machi akiwashinda Kocha Mkuu wa Azam, Abdul Mingange na Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila, katika mwezi huo Simba ilishinda michezo yote mitatu iliyocheza ikiwa nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi hiyo.
Aussems atazawadiwa sh. 1,000,000 (milioni moja) na kombe (trophy) kutoka Biko Sports
Bocco ametwaa tuzo baada ya kuwashinda wenzake wawili, Donald Ngoma wa Azam FC na Jaffari Kibaya wa Mtibwa Sugar SC alioingia nao fainali.
ADVERTISE HERE