Tiketi zote zinauzwa kwa njia ya kieletroniki na wakala mkuu ni Selcom.
NJIA ZA KUNUNUA
1. Popote ulipo mtaani kwenye wakala wa selcom unaweza kununua tiketi. Hizi ni tiketi za karatasi zinaanza kuuzwa kwa mawakala wote popote ulipo.
2. Unaweza kutumia kadi yako ya selcom kununua tiketi na na ukaitumia kuingilia uwanjani. Hii unaweza kununua popote kuanzia sasa hivi.
3. Kutumia simu yako.
KUTUMIA SIMU YAKO ULIPO
I. Download App ya selcom
II. Unasajili kupitia namba yako.
III. Unaweka fedha kwenye App yako ya selcom kutoka kkatikamtandao wowote unaotumia iwe mpesa, tigopesa nk
IV. Unaingia kwenye App ya Selcom unanunua tiketi yako kwa kiasi unachotaka maelekezo yyoteyapo hapo.
V. Unapata link ambayo siku ya mchezo unaenda nayo uwanjani na siku yako.
VI. Pale gateni unawasha simu yako nak uonyesha link inakuwa scan kama kadi ya selcom.
VII. Unaingia uwanjani.
4. Tiketi za Platinum zinapatikana kwa Tsh. 100,000. Kwa wanaohitaji tiketi za Platinum wawasiliane nasi kwa namba 0745346687.
BEI YA TIKETI
MZUNGUKO
Toka sasa mpaka ijumaa ni Tsh. 4,000 na Jumamosi ni Tsh. 5,000.
VIP B - Tsh. 10,000
VIP A - Tsh. 20,000
PLATINUM - Tsh. 100,000