Simba yapania kuendeleza ubabe uwanja wa Jamhuri ikiivaa JKT Tanzania leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Apr 2019
Simba yapania kuendeleza ubabe uwanja wa Jamhuri ikiivaa JKT Tanzania leo

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kinashuka tena kwenye uwanja wa Jamhuri kuikabili JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu

Simba ilianza vyema kutumia uwanja wa Jamhuri kama uwanja wake wa nyumbani kwa kuifumua Mbao Fc mabao 3-0

Mabingwa hao watetezi leo watakuwa na nafasi ya kuendelea kujisogeza kileleni mwa msimamo wa ligi, wakihitaji matokeo ya ushindi

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema leo atakifanyia mabadiliko kikosi chake kitakachoshuka dimbani ili kuwapa nafasi wachezaji wote hasa ikizingatiwa Jumamosi wana mchezo muhimu wa robo fainali ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazembe

Wapinzani wao TP Mazembe wanatarajiwa kuwasili leo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’