Mabingwa watetezi ligi kuu ya Tanzania Bara Simba leo wamefanya mazoezi kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro yakiwa ni maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo dhidi ya JKT Tanzania
Mchezo huo utapigwa kesho Jumatano, April 03 katika uwanja wa Jamhuri
Miongoni mwa wachezaji waliohudhuria mazoezi hayo ni Emmanuel Okwi na Clatous Chama





ADVERTISE HERE