VISA yamkwamisha Kichuya kurudi Misri

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Apr 2019
VISA yamkwamisha Kichuya kurudi Misri

Kiungo wa zamani wa Simba Shiza Kichuya ambaye kwa sasa anaitumikia ENPPI kwa mkopo akitokea klabu ya Pharco Fc iliyomnunua kutoka Simba, ameshindwa kurejea nchini Misri baada ya kuchelewa kupata Visa

Kichuya alikuja nchini kuitumia Stars kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya kutinga fainali za AFCON 2019 dhidi ya Uganda Cranes, mchezo ambao Stars ilishinda mabao 3-0

Juzi alikuwepo uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kushuhudia mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Mbao Fc

"Ilipomalizika mechi ya Stars nilianza mipango ya kutafuta Visa ya kuingia nchini Misri kwa sababu nilikuwa natumia kibali cha muda nilichopewa tangu Simba ilipokwenda kucheza na Al Ahly," amesema Kichuya

"Waajiri wangu wanayo taarifa na hivi sasa tunafanya mchakato wa kupata Visa mpya hivyo sitakuwa na muda mrefu hapa Tanzania"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’