Mchezo dhidi ya TP Mazembe utapigwa uwanja wa Taifa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Apr 2019
Mchezo dhidi ya TP Mazembe utapigwa uwanja wa Taifa

Licha ya Simba kwa sasa kutumia uwanja wa Jamhuri kwa michezo yake ya ligi, mchezo wa robo fainali ya ligi ya mabingwa utakaopigwa April 06 2019, utachezwa katika uwanja wa Taifa

Pamoja na uwanja huo kufungwa na Serikali ili kupisha ukarabati ili utumike kwenye michuano ya AFCON U17 inayoanza April 14-28, Simba itaruhusiwa kucheza uwanjani hapo dhidi ya TP Mazembe

Sababu uwanja huo ndio uliidhinishwa na CAF Simba kuutumia kwenye michuano hiyo, mabadiliko yoyote ya uwanja ni lazima yaidhinishwe na Shirikisho hilo la soka Barani Afrika

Baada ya mchezo dhidi ya TP Mazembe Simba itaendelea kutumia uwanja wa Jamhuri kwa michezo yake ya nyumbani hadi pale uwanja wa Taifa utakapofunguliwa tena baada ya michuano ya AFCON ya vijana kumalizika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’