Happy BirthDay Jonas Mkude

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Apr 2019
Happy BirthDay Jonas Mkude

Unapozungumzia wachezaji wenye heshima ya kipekee katika kikosi cha Simba basi hutasika kutaja jina la kiungo mkabaji Jonas Mkude

Kwa sasa Mkude ndio mchezaji mkongwe zaidi (sio kwa umri) katika kikosi cha Simba. Amekuwa klabuni hapo bila ya kuondoka kwa zaidi ya miaka saba

Leo ni kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kihistoria katika maisha yake

Heri ya siku ya kuzaliwa Mkude...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’