Mabingwa watetezi ligi kuu ya Tanzania Bara Simba walitua mkoani Morogoro jana tayari kuikabli Mbao Fc katika mchezo utakaopigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Jamhuri
Wekundu hao wa Msimbazi walifikia Hotel ya Flomi, hoteli maarufu mkoani Morogoro ambayo ina hadhi ya nyota tano
ADVERTISE HERE