Baada ya kuwasili mkoani Morogoro leo, jioni kikosi cha Simba kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Jamhuri yakiwa ni maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbao Fc
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili katika dimba hilo la Jamhuri




ADVERTISE HERE