Kikosi cha Simba leo kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Boko Veterans kabla ya safari ya kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo dhidi ya Mbao Fc
Simba itaelekea Morogoro kesho tayari kwa mchezo huo utakaopigwa Jumapili kwenye dimba la Jamhuri



ADVERTISE HERE