Dida anolewa kuibeba Simba mchezo dhidi ya Mbao Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Mar 2019
Dida anolewa kuibeba Simba mchezo dhidi ya Mbao Fc

Mlinda lango namba moja wa Simba Aishi Manula alipata majeraha ya kiganja cha mkono wakati akiitumikia timu ya Taifa kwenye mchezo dhidi ya Uganda

Licha ya kuhudhuria mazoezi ya Simba leo, Manula bado anaonekana hayuko vizuri, ambapo benchi la ufundi limelazimika kumuandaa kikamilifu golikipa namba mbili Deo Munishi 'Dida' kuelekea mchezo dhidi ya Mbao Fc

Baada ya mlinda lango kinda Ali Salim kuitwa katika kikosi cha timu ya Taifa U20, Simba imebaki na walinda lango wawili wa kikosi cha kwanza Manula na Dida

Hakuna uhakika kama Manula atakuwa 'fit' kabla ya Jumapili lakini huenda Simba ikalazimika kuongeza mlinda lango mwingine kutoka kikosi cha pili kuelekea mchezo wa Jumapili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
16h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
19h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’