Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa ufafanuzi kuhusu jezi za timu ya Taifa hasa baada ya kuibuka uuzwaji wa jezi ambazo sio rasmi kuelekea mchezo dhidi ya Uganda Cranes leo

ADVERTISE HERE