Uganda Cranes kuwasili leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Mar 2019
Uganda Cranes kuwasili leo

Kikosi cha timu ya Taifa ya Uganda 'Uganda Cranes' kinatarajiwa kuwasili leo tayari kwa mchezo dhidi ya Taifa Stars utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa kesho Jumapili

Mchezo huo wa kukamilisha ratiba ya kuwania tiketi ya kucheza fainali za AFCON 2019, unatarajiwa kuanza saa 12 jioni

Uganda ambayo tayari imeshafuzu kushiriki fainali hizo zitakazopigwa nchini Misri mwezi Juni ikiwa kinara wa kundi L, iliweka kambi ya wiki moja jijini Cairo

Kikosi cha timu hiyo kitakachowasili leo, kinajumuisha wachezaji wawili wa Simba, Emmanuel Okwi na Juuko Murshid

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
9h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
9h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
12h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’