Nitakuwepo uwanjani kuiunga mkono Stars - Tshabalala

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Mar 2019
Nitakuwepo uwanjani kuiunga mkono Stars - Tshabalala

Nahodha Msaidizi wa kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' amesema ataungana na mashabiki wa soka nchini kwenda uwanjani kesho kuiunga mkono Stars itakapokuwa ikichuana na Uganda Cranes

Tshabalala amesema anaamini kikosi kilichochaguliwa na kocha Emmanuel Amunike ni kizuri na kitaweza kuipa Tanzania matokeo inayohitaji ili iweze kufuzu kwa fainali za AFCON 2019

"Nitakuwepo uwanjani kesho kuwasapoti ndugu zangu, marafiki zangu, kaka zangu kuwapa hamasa ili waweze kupata matokeo chanya katika mchezo huo"

Tshabalala amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kesho kuhakikisha lengo la kushinda mchezo huo linafanikishwa

Mchezo dhidi ya Uganda umepewa hamasa ya kipekee na wadau wa nyanja zote nchini kutokana na umuhimu wake

Baada ya kukosa kushiriki fainali za AFCON kwa miaka 39, Stars inaweza kupata nafasi ya kushiriki fainali hizo mwaka huu zitakazofanyika nchini Misri kama itaweza kuifunga Uganda

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’