SportPesa yaipongeza Simba, kutoa 'bonus' Milioni 50

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Mar 2019
SportPesa yaipongeza Simba, kutoa 'bonus' Milioni 50

Kampuni ya kubashiri matokeo, SportPesa ambao ndio wadhamini wakuu wa Simba, imetoa pongezi kwa mabingwa hao wa Tanzania Bara kwa kufanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Mkurugenzi wa SportPesa kwa upande wa Tanzania, Abbas Tarimba amesema wakiwa wadhamini wa klabu hiyo, wanajivunia mafanikio waliyopata katika michuano hiyo

Amesema mafanikio hayo ya Simba yameipa heshima Tanzania. SportPesa imeahidi kutoa kitita cha Milioni 50 kama 'bonus' kwa Simba kutokana na hatua hiyo waliyofikia.

"Sisi kama SportPesa tutatoa kiasi cha shilingi za kitanzania milioni 50 kwa Simba kutokana na mafanikio haya waliyopata kwa kuingia hatua ya robo fainali, Ligi ya Mabingwa Afrika," amesema Tarimba

"Tunaipongeza Simba, wachezaji pamoja wa wanachama wake kwa kuisaidia timu kutinga hatua hii"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’