Chilunda akana kusaini Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Mar 2019
Chilunda akana kusaini Simba

Mshambuliaji wa Tenerife inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Hispania (Segunda B) Shabani Iddi Chilunda amekana kusajiliwa na wekundu wa Msimbazi

Aidha Chilunda ameikana picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuhisha yeye akisaini kuitumikia klabu ya Simba

Chilunda aliyewasili nchini hivi karibuni kwa ajili ya majukumu ya timu ya Taifa, amesema bado ana mkataba wa muda mrefu na Tenerife

Ingawa picha iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii sio yake, Chilunda anadaiwa kuwa mbioni kutimka nchini Hispania baada ya kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo

Chilunda alianza kuhusishwa na Simba hata kabla Tenerife haijamsajili kutoka klabu ya Azam Fc mwishoni mwa msimu uliopita

Ni miongoni mwa wachezaji chipukizi kutoka Tanzania ambao wanatabiriwa kuja kupata mafanikio siku zijazo kama watajituma zaidi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’