Baada ya kuchaguliwa Kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi wa Pili ligi kuu ya Tanzania Bara, mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere leo amekabidhiwa tuzo hiyo na wadhamini kampuni ya Bikosports
ADVERTISE HERE