Aussems alia na mazoezi ya Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Mar 2019
Aussems alia na mazoezi ya Stars

Kocha Mkuu wa timu ya Simba Patrick Aussems ameingiwa na hofu kutokana mazoezi wanayopewa wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kuwa yanaweza kupelekea majeruhi

Aussems ametoa tahadhari hiyo hasa ikizingatiwa kwenye kikosi cha Stars Simba ina wachezaji wanne

Wachezaji wa Simba walioitwa kikosi cha Stars ni Aishi Manula, Jonas Mkude, John Bocco na Erasto Nyon

Ikumbukwe mwishoni mwa mwaka jana Simba ilimpoteza beki wake Shomari Kapombe ambaye yuko nje kwa zaidi ya miezi mitano akiuguza majeraha aliyopata akiwa katika kambi ya Stars  Afrika Kusini

Simba inakabiliwa na michezo ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa, droo ya hatua hiyo ikiatarajiwa kufanyika nchini Misri kesho

Kocha Mkuu wa Stars Emannel Amunike ameanza kukinoa kikosi cha Stars jana, wachezaji wakifanya mazoezi mara mbili kwa siku

Stars inajiandaa kuikabili Uganda Jumapili, March 24 2019

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’